Jump to content

Community Status Updates


Photo

Majili Stephen Killo

CCM "Nichagueni sitawaangusha tena" Twiga wamepanda ndege, sitawaangusha. Ufisadi wa meremeta, sitawaamgusha. EPA sitawaangusha. Dowans, sitawaangusha . Richmond, sitawaangusha nasema kweli kabisa. Escro nimekoma sitawaangusha tena. Mabehewa mabovu baati mbaya sitawaangusha. Meno ya tembo nje niamini tu ova sitawaangusha. Shilingi kushuka thamani sitawaangusha nasema kazi tu. Nichagueni tena miaka mitano muone!! du! ni kazi kweli kwel!
Sep 22 2015 03:19 AM